Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza...
Mimi ni kijana mwenye jinsia ya kike mwenye umri wa miaka 22..Ni mkazi wa iyunga mbeya.. Elimu yangu ni diploma ya ugavi (procurement and logistics)..Nipo tayari kufanya kazi katika mazingira yoyote ya mbeya mjini...
Kwa mawasiliano 0716402298 au 0745468287..