Sasa hivi course ya sheria kwa tz imekuwa ikipata wanafunzi kwaumaarufu wake na heshima utakayopata kutokana na fani hiyo> Nasema hv kwa sababu kuna rafiki zangu wengi tulisoma wote wao walichukua course hiyo, lakini matokeo yak hadi leo hawajapata kazi na wanalalamika sana kwa nini walichukua hiyo course, ukienda school of law ndio imekaa kibiashara zaidi, mana kati ya wanafunzi 350 utakuta wanafanikiwa kufaulu na 60 tu, sasa inakuwa kama vile kupoteza muda. Mimi nakushauri, huku ukiendelea kutafuta kazi jaribu kwanza za kujitolea kwenye ofisi yoyote, pili kama una uwezo unaweza somea course nyingine kwa level ya postgraduate ili at least uwe na wide range katika soko la ajira. Sio peke yako uanyetafuta kazi ktk fani yako ni wengi mno na wale ambao wamekwisha staff badala ya kuachia nafasi nanyi muweze kufanya kazi, ila wanajiongezea mikataba kila kukicha. yangu ni hayo tu nakutakia mafanikio mema katika utafutaji wa kazi