Wabongo wengi kweli wamesoma lakn bado hawajaelimika! Umeshauriwa nenda taasis za kidini bado unauliza wapi tena? Basi nenda mashule ya watu binafsi! Ukikosa na huko, kabla hujauliza kwingine, nenda BAR ukawe meneja! Hapo kupitia wateja wako(wagidaji) utapata michongo yote ya maisha!