Nani uwezo wa kufanya kazi yoyote halali
Kuuza duka,kusimamia miradi,n.k.
Nishapost saana humu maombi ya kazi
lakini naishiwa kupewa pole na kutiwa moyo! Nimejieleza vya kutosha! Ila naona bahati haijaja kwangu
Ndo naufungua mwaka sasa
mimi ni ME
nipo dsm
Nipo tayari kufanya kazi eneo lolote.