me nadhani hizi ID za kike zinawalinda hususan nyie akina dada hapa JF..angekuwa ID yakiume/haieleweki ungeona kejeli matusi na kashifa.. anyway Rose elezea vizur professional yako elimu yako..au unaogopa kujianika? mtafutaji achoki akichoka kapata hasa kwa style hyo utachoka mapema...#usilale mlango waz et kisa mungu yupo anakulinda..jisaidie na wew usaidiwe