Habari wadau. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nimemaliza chuo 2013 NIT Diploma of Logistics and Transport Management. Tafadhali kwa mwenye kuhitaji mtu wa kumwajiri, hata kama ni kazi yeyote anijuze kwani nimechoka kukaa bila kazi. Nitafanya kazi yeyote ili mradi iniingizie kipato ila isiwe kuuza bar. Nawasilisha.