Mimi nina mdogo wangu amesomea kozi ya drivings and mechanics engeering kutoka chuo cha Arusha Tech. Naomba mwenye kujua nafasi yoyote kwenye makampuni au taasisi, mashirika ninaomba anisaidie. Kwasasa yuko kitaa zaidi, chochote anaanzia.
Habakui kazi no.0765469266.
Nitashukuru wadau mkinisaidia, niko hapa mwanza.