KIDOLEGUMBA JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 498 Reaction score 110 Jan 10, 2014 #2 Jitahidi upate Class C itakuwezesha kupata ajira ya kudumu katika ofisi za serikali kwa urahisi.
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,366 Reaction score 2,151 Jan 10, 2014 #3 Tembelea cocacola bonite ya moshi juzi walitangaza nafasi 50 za madereva wa magari makubwa! Thubuthu kuomba huenda ukapata.
Tembelea cocacola bonite ya moshi juzi walitangaza nafasi 50 za madereva wa magari makubwa! Thubuthu kuomba huenda ukapata.
idrisa mohamed Member Joined Sep 19, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jan 10, 2014 #4 kuna kampun hipo inatafut maderev wa kwend kuendesh magar kweny nchi za kiarab il unatakiw kuw na pasport ya kitabu
kuna kampun hipo inatafut maderev wa kwend kuendesh magar kweny nchi za kiarab il unatakiw kuw na pasport ya kitabu
yakub yusuf JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 319 Reaction score 86 Jan 10, 2014 Thread starter #5 Ndio nko kwenye mchakato wa kuchukua C kidole Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
yakub yusuf JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 319 Reaction score 86 Jan 10, 2014 Thread starter #6 Asnt ndugu kwa taarifa yako@kayoka
yakub yusuf JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 319 Reaction score 86 Jan 10, 2014 Thread starter #7 Wap hiyo kampun ilipo kaka Idrisa?
idrisa mohamed Member Joined Sep 19, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jan 11, 2014 #8 hip maeneo ya mweng.we nipigie kw number 0652 868486 nikupe number ya mkuu wa kazi katik hiyo kampuni
hip maeneo ya mweng.we nipigie kw number 0652 868486 nikupe number ya mkuu wa kazi katik hiyo kampuni
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jan 11, 2014 #9 idrisa mohamed said: kuna kampun hipo inatafut maderev wa kwend kuendesh magar kweny nchi za kiarab il unatakiw kuw na pasport ya kitabu Click to expand... Unaweza ukataja jina la hiyo nchi mkuu?
idrisa mohamed said: kuna kampun hipo inatafut maderev wa kwend kuendesh magar kweny nchi za kiarab il unatakiw kuw na pasport ya kitabu Click to expand... Unaweza ukataja jina la hiyo nchi mkuu?
idrisa mohamed Member Joined Sep 19, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jan 11, 2014 #10 hao jamaa ndo wanakuchagulia nchi ya kukupelek
yakub yusuf JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 319 Reaction score 86 Jan 11, 2014 Thread starter #11 Poa nme kusoma mkuu
D DIKE JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 370 Reaction score 158 Jan 11, 2014 #12 Pitia zoomtanzania the guardian wanataka driver nafasi 5
Masoud Juma Ally Member Joined Jan 23, 2014 Posts 8 Reaction score 1 Jan 23, 2014 #13 DIKE said: Pitia zoomtanzania the guardian wanataka driver nafasi 5 Click to expand... zoomtanzania hipo wapi kaka?
DIKE said: Pitia zoomtanzania the guardian wanataka driver nafasi 5 Click to expand... zoomtanzania hipo wapi kaka?
Masoud Juma Ally Member Joined Jan 23, 2014 Posts 8 Reaction score 1 Jan 23, 2014 #14 Zoomtanzania hipo wapi kaka?
L limi Senior Member Joined Jun 8, 2013 Posts 124 Reaction score 33 Jan 23, 2014 #15 Masoud Juma Ally said: Zoomtanzania hipo wapi kaka? Click to expand... www.zoomtanzania.com kipengele cha tanzania jobs and employment..
Masoud Juma Ally said: Zoomtanzania hipo wapi kaka? Click to expand... www.zoomtanzania.com kipengele cha tanzania jobs and employment..