I Issack Julius Msoffe Member Joined May 31, 2013 Posts 8 Reaction score 0 May 31, 2013 #1 Mimi naitwa Issack Julius Natafuta temporary work ya ualimu kilimanjaro masomo ni KISWAHILI na HISTORY nimuhitimu wa Diploma kutoka chuo cha ualimu Korogwe for more contact wasiliana nami 0769550822 au scober80@ovi.com
Mimi naitwa Issack Julius Natafuta temporary work ya ualimu kilimanjaro masomo ni KISWAHILI na HISTORY nimuhitimu wa Diploma kutoka chuo cha ualimu Korogwe for more contact wasiliana nami 0769550822 au scober80@ovi.com
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 417 May 31, 2013 #2 Ualimu mbona kazi zimejaa mkuu...au unachagua mji wa kufanya kazi
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 May 31, 2013 #3 kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana.
kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana.
W Wonder Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 166 Reaction score 47 May 31, 2013 #4 Chibolo said: kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana. Click to expand... acha kumkatisha tamaa mwenzako ww walimu wanahtajka kila kona ht akikosa tempo atapangiwa kaz n serikal.
Chibolo said: kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana. Click to expand... acha kumkatisha tamaa mwenzako ww walimu wanahtajka kila kona ht akikosa tempo atapangiwa kaz n serikal.
I Issack Julius Msoffe Member Joined May 31, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Jun 1, 2013 Thread starter #5 Hao hao ndo wanajidai wamesoma sience na hata test tube hajui so kama huna msaada we vunga