Asalam Aleikum;
Waungwana.
Namshukuru Mwenyezi Mungu kuniwezesha kuwana afya njema katika kulijenga taifa letu la Tanzania.
Napenda kutoa shukuru kwa michango yenu ya dhati iliyo ya hasi na chanya katika Thread yangu.
Nashukuru nimepata mafunzo na michango mingi ya mawazo ambayo imenisaidia kwa njia moja au nyingine ikiwa nikuniwezesha kutambua mengi niliyokuwa sijatambua.
Naomba Mungu awawezeshe ili muendelee katika kutusaidia sisi ambao bado tunajaribu kufanikiwa katika maisha.
Ahsanteni Sana
Mungu Awabaliki
Regards;
0718 265427