ndugu zangu wanajamii mimi ni graduate wa udaktari katika chuo chetu cha muhimbili . kufuatia kile kinachoeendelea katka sekta ya afya wito wangu wa kufanya udaktari nchini umepotea plz naombeni mnisaidie kupata nafasi ya kazi itokanayo na taaruma yangu tofauti na kazi ya kutibu