Natafuta kazi

Joined
Oct 29, 2026
Posts
6
Reaction score
17
HUDUMA YA HOME TUITION (HISABATI & SAYANSI) πŸ“šβœοΈ

Habari wazazi/walezi! Mimi ni Mwalimu wa PRIMARY (Astashahada ya Ualimu - Grade A). Ninafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi (Darasa la 1–7) masomo ya Hisabati na Sayansi.

βœ… Namjengea mwanao msingi imara na kuondoa hofu ya masomo.
βœ… Namsaidia homework na maandalizi ya mitihani.
βœ… Napatikana DAR ES SALAAM.

Gharama ni nafuu na tunazungumza.
πŸ“ž Piga [ 0726700816]
 
Kwanini umsaidie homework?

Kazi ya homework ni nini kwa mwanafunzi?
Wenzio ndo sehemu yao kuuu ya kutafuta ugali....
🀣🀣🀣🀣.yani mwalimu anatoa homework mwingine anapatiapo ugali kupitia tuitionπŸ˜‚πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…