🤣🤣🤣🤣🤣 jinsia/ dada… which is which??Jinsia ujataja dada
Me wakike labda kakosea kdg tyujinsia/ dada… which is which??
Nina duka la lingerie njoo nikuoe kazi ya kusimamia. Mshahara laki 2
Nilisomea computer pia nilisomea business ila ada ikasumbua kdogoPia jaribu kujiupgrade na hz short courses uwe na CV iliyoshiba kidogo.
Na mimi Sina kazi ngoja nije piem tukatafute wote
Ipi iyoImekupita ile ya BRELA, kigezo kilikua ni hyohyo form four. Ungeapply
Sehemu ganiNina duka la lingerie njoo nikuoe kazi ya kusimamia. Mshahara laki 2
Nilisomea computer na business but sikufika mbali ila kwenye mnajua pika kekiuna ujuzi gani? jipambanue vyema
Nimejikaza sana nisicheke nimeshindwa, hahahahahahaNina duka la lingerie njoo nikuoe kazi ya kusimamia. Mshahara laki 2
Mbona wachekaNimejikaza sana nisicheke nimeshindwa, hahahahahaha
DohNa mimi Sina kazi ngoja nije piem tukatafute wote