Natafuta kazi

hdboe_255

New Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa David nina umri wa miaka 18 nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi yoyote halali ambayo itakua na maslahi nipo Dar kwa mawasiliano zaidi nipate instagram hdboe_255.

Ahsante kwa muda wako.
 
usha dunda o level dogo
nkadhani utaomba msaada juu ya matokeo yao
any way kila la kheri
 
Naitwa David nina umri wa miaka 18 nina elimu ya kidato cha nne natafuta kazi yoyote halali ambayo itakua na maslahi nipo Dar kwa mawasiliano zaidi nipate instagram hdboe_255.

Ahsante kwa muda wako.
Ulimaliza kidato cha nne mwaka gani? Na matokeo yako yalikuwaje? Tuanzie hapo kwanza.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…