miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Nakushauri uondoe namba yako ya simu.Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho mapema nitakupigia kuhusu hili la kaziHabari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa namba hiyo, acha ushamba, unataka kujiongezea matatizo, alie serious atakuja dmHabari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa namba hiyo, acha ushamba, unataka kujiongezea matatizo, alie serious atakuja dm
Sent using Jamii Forums mobile app
dada anajiamini sana hajataka kuzunguka zunguka, kaenda straight to the point.I see nothing wrong with the number, mwenye nia ovu hata DM haibadilishi dhamira yake. Zaidi nimemwona dada kua she is strong girl. Dada nakuombea Mungu akujalie haja ya moyo wako!.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteI see nothing wrong with the number, mwenye nia ovu hata DM haibadilishi dhamira yake. Zaidi nimemwona dada kua she is strong girl. Dada nakuombea Mungu akujalie haja ya moyo wako!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutoka eneo moja kwenda lingine kwa ajili ya kazi??mfano Dom-Dar,.??
Sema tu unatafuta mume, mbona unazunguka sana?
Ondoa namba hiyo, acha ushamba, unataka kujiongezea matatizo, alie serious atakuja dm
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825
Nitakutafutia kazi mwanangu, usichoke kuomba
Ok hapo nimkupataNamba siyo tatizo sababu Mimi Niko serious natafuta kazi atakayepiga simu nitapokea nitamsikiliza Kama haeleweki atakula block
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na picha kabisa,pamoja na umri maana wengine tunatafuta house girls kazuri zuri .Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa anatafuta mume..nadhani angeweka bandiko.....wewe unafikra potofuSema tu unatafuta mume, mbona unazunguka sana?
Kwani kurafuta mume ni fikra potofu?Angekuwa anatafuta mume..nadhani angeweka bandiko.....wewe unafikra potofu
Sent using Jamii Forums mobile app