Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,887
Fani ni IT ngazi ya Astashahada.Fani,Kipaji,Uwezo?
Haha mzee ... hapo kwenye uwezo inabidi uweke what u know and can do in IT . . Job experience etc....Fani ni IT ngazi ya Astashahada.
Uwezo : kudumu hata masaa 9 -10 ya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilianza kama basic kwenye IT but sikufanikiwa kumaliza maana nilikosa adaHaha mzee ... hapo kwenye uwezo inabidi uweke what u know and can do in IT . . Job experience etc....
Sent using Jamii Forums mobile app
chapati za maji ila za mafuta naweza kidogoUnaweza kutengeneza kitu gani kikauzika?
Inawezaje kulipa?
Uwekezaji unakuwaje na faida inapatikanaje?
laki moja ni ela ndogo sana kaka tena per monthKuna kazi ya kutembeza mifuko k/koo ,mshahara 100,000/= kwa mwezi .Je upo teyari???