Naitwa:-.........................JASTIN J. KAMUGISHA.
Kazi:-...............................ELECTRICAL.
Lesseni:-........................CLASS ( D ).
Elimu ya ufundi:-.........LEVEL TWO ( 2 ).
Ninako ishi:-.................MOROGORO.
Umri/ miaka:-...............20
Mobile no:-...................0786866762 na wathapp.
Natafuta kazi ya umeme katika kampuni ya mtu binafsi au shilika lolote kazi zinazohusu umeme. Nina uzoetlfu wa umeme wa majumbani na viwandani. Nina uzoefu wa miaka sita katika kazi ya imeme, Nipo tayari kufika mahali popote kwa MTU AU KAMPUNI itakayo niitaji. Kazi kwanza malipo baadae. Asanteni.
Uzoefu wa miaka 6 how wakati una miaka 20? Kwanini unadanganya.. ni kampuni gani ilianza kukufanyisha kazi ukiwa na miaka 14. Ume graduate ukiwa na 14yrs hiyo level 2..
aisee, umemaliza ufundi ukiwa na miaka 14, umemaliza form 4 una miaka 12, umemaliza la 7 una miaka 8, aisee
umeanza la kwanza una mwaka 1, what a smart jiniaz