Una amini katika kuajiriwa tu?Ahsante sana
Ajira kwa sasa ni ngumu my dear..jishughulishe hata na vibiasharaHapana ata vingine pia
Sawa Ahsante Nimekuelewa
PoaNakucheki pm
Nguo za kike pamoja viatu vya kike tupo wavulana 2 na wewe utakuwa wa tatu Tunajuwa seemu ya kuchukulia mzigo kariakoo kwa bei sawa na bure. Seemu tuliyo panga kufanyia biashara gongo la mboto. Kama upo tayali uta ni pm ili nikupe maelekezo zaidiBiashara ipi hiyo
Sawa nimekuelewaNguo za kike pamoja viatu vya kike tupo wavulana 2 na wewe utakuwa wa tatu Tunajuwa seemu ya kuchukulia mzigo kariakoo kwa bei sawa na bure. Seemu tuliyo panga kufanyia biashara gongo la mboto. Kama upo tayali uta ni pm ili nikupe maelekezo zaidi
Doreen hongera kwa kuhitimu Masomo umehitimu mwaka gani,chuo gani?na unaishi maeneo gani?Rejea kichwa cha habari hapi juu Naitwa Doreen Gabriel Ni muhitimu wa Diploma ya Record/library and Information Studies nina uzoefu wa wa mwaka moja na miez 2kupitia hii kazi katika taasisi fulani, pia nimesomea computer katika chuo cha Open University kwa miez 7 nina uzoefu wa fani ya IT vilevile.Mwenye kampuni,Shule,Chuo,Au hata Wenye uhitaji wa mtu wa Record msisite kunicheki PM au Kwa email yangu gabrieldoreen444@gmail.com.Ahsanteni