Natafuta kazi.

Nakutakia heri dada waje huko Pm. Hii nchi bwana, Watu wana Shahada- wamesota na kusoma weeee ila upatikanaji wa kazi bado ni mgumu.
 
Nlichopenda umeandika kwa adabu sana
 
Kwa hapa hakuna kinachoshindikana na unaonekana kazi unaweza,Mungu ni mwema!
 
Nipigie 0692470547/0658276181
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…