Mimi ni mwanaume wa miaka 37,mwenye mke na mtoto 1,nimesoma mambo ya hotel bismack miaka ya 99 to 00,ni mtaalamu wa vinywaji(bartender) nimeupata pale masaki gardenbistro kwa miaka 7,najua kutengeneza coctail na nan alcohol coctail,. Naweza kufanya kazi katika club,pub na restaurant, pls if any one know or need,iam here for u... ..contc.0787549495...0713549495.asante.