dah!! mbali sana na sehemu nilipo, kila la heriNiko dar ,sijawahi Fanya kazi sehemu yoyote maana nimemaliza Chuo mwezi wa kumi mwaka 2017
inahusika nin na kazi.... Wabongo hawakosagi la kusema...... Kama unataka kumpa kazi mpe tuuuKwa hiyo Avatar yako mkuu sijui nani atakupa watoto wake umlelee.
Mgegedo huo aiseeee.... bongo ni kutafunana tu... Kula uliweMe pia naishi Dar ila nafanya kaz mkoani Geita, huko kuna rafik angu ni mmliki wa shule ya watoto na alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa kama zako, kama hutojal ni PM ukiwa tayar kufanya kaz Geita unaweza kuja nyumban kwangu tukaondoka wote kwa usafir wangu, mpaka mda huu nipo Mbezi
Ungekuwa na watoto ungenielewa vyema mkuu.inahusika nin na kazi.... Wabongo hawakosagi la kusema...... Kama unataka kumpa kazi mpe tuuu
Nyie watoto mnawaza ngono tu! lakin ni jukum lake kama anataka kaz kwel atanitafuta, mi nina mke na watoto, na ndo maana akiwa tayar aje nyumban kabisa aione na familia yangu!Mgegedo huo aiseeee.... bongo ni kutafunana tu... Kula uliwe
ohooo!!!!!Mgegedo huo aiseeee.... bongo ni kutafunana tu... Kula uliwe
asanteMe pia naishi Dar ila nafanya kaz mkoani Geita, huko kuna rafik angu ni mmliki wa shule ya watoto na alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa kama zako, kama hutojal ni PM ukiwa tayar kufanya kaz Geita unaweza kuja nyumban kwangu tukaondoka wote kwa usafir wangu, mpaka mda huu nipo Mbezi
Mrejeshoasante