beki tatu vp utaweza?????Mimi ni binti, umri miaka 24,kwa upande wa elimu nmemaliza diploma mwaka huu mwezi wa 6 chuo cha utumishi wa umma.nmesomea fani ya UTUNZAJI KUMBUKUMBU NA NYARAKA. Kwasasa ninavyeti viwili cha level 4na 5..level 6bado havijatoka.
Ninatafuta kazi yoyote kwa sasa nikisubiri cheti changu.
Nipo dar es salaam, na nipo tayari kufanya kaz dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uje(inbox)
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi nyumban ukaanzishe hata shamba ka pilipili zna dili sana saivi.
Usibweteke na kukaa mjini hata Elimu yako nzuri ya kutunza kumbukumbu hiyo itakusaidia kujua km lini limwagilia ama kutia dawa kwenye bustan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itamsaidia kujiingizia kipato maradufu ndg.kwenye elimu yake ya record keeping akaiapply kwenye kilimo cha pilipili????
ok..mshauri na atapopata mtaji wa kilimia pilipili
Aje mm namu Advance 1m pia nina bonde kubwa sana.ok..mshauri na atapopata mtaji wa kilimia pilipili
kakusoma naamini..na kama yupo serious atakutafutaAje mm namu Advance 1m pia nina bonde kubwa sana.
ila km yupo serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua smtym kama huna lakusema it's better ukaa kimya.. Hujalazmishwa..cz naona u talk nonsense and stupidity things ase.. Eti rud nyumban uliambiwa niko ugenin au?? Be like an educated and learned person sio kuropoka ropoka tuu.. Mxieeeew.Rudi nyumban ukaanzishe hata shamba ka pilipili zna dili sana saivi.
Usibweteke na kukaa mjini hata Elimu yako nzuri ya kutunza kumbukumbu hiyo itakusaidia kujua km lini limwagilia ama kutia dawa kwenye bustan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe bureUnajua smtym kama huna lakusema it's better ukaa kimya.. Hujalazmishwa..cz naona u talk nonsense and stupidity things ase.. Eti rud nyumban uliambiwa niko ugenin au?? Be like an educated and learned person sio kuropoka ropoka tuu.. Mxieeeew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi nyumban ukaanzishe hata shamba ka pilipili zna dili sana saivi.
Usibweteke na kukaa mjini hata Elimu yako nzuri ya kutunza kumbukumbu hiyo itakusaidia kujua km lini limwagilia ama kutia dawa kwenye bustan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema educated eeehUnajua smtym kama huna lakusema it's better ukaa kimya.. Hujalazmishwa..cz naona u talk nonsense and stupidity things ase.. Eti rud nyumban uliambiwa niko ugenin au?? Be like an educated and learned person sio kuropoka ropoka tuu.. Mxieeeew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefeli interviewUnajua smtym kama huna lakusema it's better ukaa kimya.. Hujalazmishwa..cz naona u talk nonsense and stupidity things ase.. Eti rud nyumban uliambiwa niko ugenin au?? Be like an educated and learned person sio kuropoka ropoka tuu.. Mxieeeew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bac jf sio sehemu ya kufutia kazi.Sijakutukana.. Kama hujui kusoma rud shule ukajifunze upya.. Upoo.. Afu hzo hbry za mabwana znaingia vp apa.. Kama unamihemko peleka ukooo.. Unicniletee mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa kukosa kazi pamoja na kuwa na Elimu ya secondary.sasa cjui hapa jf watakutafutia kazi gani zaidi.Kama hukuwa na mawazo chanya ts better ungekaa kimya.. By the way Sina mda mchafu WA kubishana na useless person lky you. Idiot
Sent using Jamii Forums mobile app