Mmh humu ndani wazinguaji tuHabari wana jf!
Mimi ni mhitimu wa shahada ya uzamili katika usimamizi wa miradi(Project Management),vilevile nina shahada ya sanaa katika elimu.
Natafuta nafasi ya kazi, hasa ya kujitolea katika NGOs zinazojishughulisha na miradi ya elimu ili kupata uzoefu katika hii kada.
Msaada wenu wanaJf.
Ahsante!
Sent using Jamii Forums mobile app
andika threter yako mkuuHabari wanajf
Mimi naitwa Doris Gabriel nimesomea front office ni pamoja na receptionist, customer care,telephone operating system nikafanya field Dodoma hotel, Serena hotel, Na strategies insurance jamani naombeni mnisaidie kupata Ajira ata kama kukitokea Kazi inayoendana Na niliyosema naombeni nafasi nisaidie wana jf nisaidieni Wa Tanzania wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani alimaanisha andika 'Thread yako' Uzi wako.Gatiki ipi hiyo sijakupata
uko sawA ilijitouch c unajua smart na mie nna cifole vikubwaNadhani alimaanisha andika 'Thread yako' Uzi wako.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Kwani hii mada ni wewe ndio umeianzisha??
Kuanzisha mada yako maana ni kama vile upo ndani ya mada ya mwenzio.... unless uwe ni wewe huyo huyo mmoja.
Watu wawili tofautiKuanzisha mada yako maana ni kama vile upo ndani ya mada ya mwenzio.... unless uwe ni wewe huyo huyo mmoja.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Tutonyane mkuu!Mkuu ulipata ile NGO? kama tayari ubarikiwe, kama bado hebu ni PM
Kwani mkuu wewe unataka kufanya volunteering au unataka ajira? maana Tysher anataka volunteering na mimi nina mchongo wa volunteering.