Subiria AJIRA mkuu achana na huyo jamaa anataka kukupotezaAhsante kwa ushauri wako lkn kama lengo ndo hilo basi sikuwa na haja ya kupoteza muda wa kwenda shule
Kumbe bado mjinga, bado hujaelimika na hata Kazi unayotafuta sidhani kama utaiweza.Ahsante kwa ushauri wako lkn kama lengo ndo hilo basi sikuwa na haja ya kupoteza muda wa kwenda shule
Wanakukatisha tamaa endelea na mapambano Mungu ni mwema utapataUna maana gani?
Nakupongeza Kwa Maneno yako ya Hekima.Kumbe bado mjinga, bado hujaelimika na hata Kazi unayotafuta sidhani kama utaiweza.
Mpatie ardhi akalime na capital ya kununua mbegu, madawa and the rest of pembejeo za kilimo utakua umeutendea haki ushauri wakoTafuta shamba ulime mkuu, kazi hakuna na pia hazilipi kama kilimo.
Sana sana utakuwa mtumwa tu. Tafuta mtaji tafuta shamba piga jembe.
Mkuu ulienda shule ili uje kuajiriwa ?? Au ulienda kujifunza ?Ahsante kwa ushauri wako lkn kama lengo ndo hilo basi sikuwa na haja ya kupoteza muda wa kwenda shule
Hiyo ni assignment yake yeye. Sina wajibu wakufanya hayo, atafute mwenyeweMpatie ardhi akalime na capital ya kununua mbegu, madawa and the rest of pembejeo za kilimo utakua umeutendea haki ushauri wako
Kwahiyo wewe unafikiri lengo kuu la kuenda shule ni ili ukimaliza uajiriwe!?Ahsante kwa ushauri wako lkn kama lengo ndo hilo basi sikuwa na haja ya kupoteza muda wa kwenda shule