S skala Member Joined Oct 20, 2016 Posts 5 Reaction score 2 Nov 5, 2016 #1 Habari wana jamii Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 22 natafuta kazi yoyote mwanza plz naomben msaada wenu ndugu zangu.na ntafanya kazi kwa bidii elimu yangu ni kidato cha nne.nipo mwanza.
Habari wana jamii Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 22 natafuta kazi yoyote mwanza plz naomben msaada wenu ndugu zangu.na ntafanya kazi kwa bidii elimu yangu ni kidato cha nne.nipo mwanza.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,326 Reaction score 7,522 Nov 5, 2016 #2 Andika kama KE au ME ili nione kama unafaa kufanya kazi za ndani.