Taaluma yangu ni mwalimu wa shahada ya kwanza masomo ya Economics, mathematics na geography. nina umri wa miaka 26 Mtanzania na ninaishi Morogoro, nina uzoefu wa miaka miwili.
wew ni mwalimu kweli uliyesomea fani hiyo? mana mwalimu huwa ana specilize kwenye masomo mawili au moja? sasa wew ni mwalimu gani unafundisha masomo matatu,,,,,,,au just mwl tuuu et?