Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,453
Mungu akutangulieHabari wana JF
Bila kupoteza muda niende kwenye mada
Nimekuja mbele yenu kwa yeyote atakaeguswa naomba kazi yoyote ile iliyo halali naweza kufanya iwe ya nguvu au isiyo na nguvu niko tayari nataka nipate hela kidogo niendelee na masomo nisaidieni kijana wenu niko mbele yenu
Location MWANZA
Contact: 0654359832
Sawa mkuuPole Sana.
Ungekuwa Dar Kuna namna ningeweza kukusaidia kwa sababu umesema unaweza kazi ya kutumia nguvu.
Ngoja waje wa Mwanza.
AmeenMungu akutangulie
400 au 40 mkuuUnaweza kufyeka mita 400 na upana wa mita sita kwa siku..?
Huo ni uwanja wa mpira Mara nne kwa urefu na hatua sita za upana. Mbona inawezekana tu400 au 40 mkuu
Hii ni kazi ama adhabu...!!π€Unaweza kufyeka mita 400 na upana wa mita sita kwa siku..?
π€Unaweza kufyeka mita 400 na upana wa mita sita kwa siku..?
Mpatie kazi acha maelezo mengi.Unaweza kufyeka mita 400 na upana wa mita sita kwa siku..?
πππππdahUnaweza kufyeka mita 400 na upana wa mita sita kwa siku..?
400m400 au 40 mkuu
Inawezekana kabisaHuo ni uwanja wa mpira Mara nne kwa urefu na hatua sita za upana. Mbona inawezekana tu
Amesema anataka kazi sio adhabuHii ni kazi ama adhabu...!!π€
Kuna kazi isiyo na interview...?Mpatie kazi acha maelezo mengi.
Hiyo ni kawaida kabisa mkuuπππππdah
Inapatikana wap400m