tobiansez Member Joined Oct 25, 2018 Posts 15 Reaction score 5 Oct 25, 2018 #1 Naitwa Thobias Leonard nina umri wa miaka 23, mi nimzima wa afya kabisa. Elimu yangu nina cheti cha Ualimu grade A. Naishi kilimanjaro anaetaka kunipa kazi mi nafanya kazi zote bila kubagua anipate katika Namba hizi 0654541373. 0744620658
Naitwa Thobias Leonard nina umri wa miaka 23, mi nimzima wa afya kabisa. Elimu yangu nina cheti cha Ualimu grade A. Naishi kilimanjaro anaetaka kunipa kazi mi nafanya kazi zote bila kubagua anipate katika Namba hizi 0654541373. 0744620658
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,059 Oct 25, 2018 #2 Kama ungekuwa unaweza kuja mkoa wa kigoma,wilaya ya kibondo karibu sana Kuna job
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Oct 25, 2018 #3 hivi certificate ndio mwalimu wa shule za msingi?
tobiansez Member Joined Oct 25, 2018 Posts 15 Reaction score 5 Oct 25, 2018 Thread starter #4 Saint Ivuga said: hivi certificate ndio mwalimu wa shule za msingi? Click to expand... Ndio certificate ni ngazi ya kwanza katka elimu yoyote sio ualinu tu wa shule ya msing ila ndio nina certificate ya msing
Saint Ivuga said: hivi certificate ndio mwalimu wa shule za msingi? Click to expand... Ndio certificate ni ngazi ya kwanza katka elimu yoyote sio ualinu tu wa shule ya msing ila ndio nina certificate ya msing
tobiansez Member Joined Oct 25, 2018 Posts 15 Reaction score 5 Oct 25, 2018 Thread starter #5 Benson Rayson said: Kama ungekuwa unaweza kuja mkoa wa kigoma,wilaya ya kibondo karibu sana Kuna job Click to expand... Kuna job gani? Kwani m kuja sishindwi ila tu kazi iwe ya uhakika.
Benson Rayson said: Kama ungekuwa unaweza kuja mkoa wa kigoma,wilaya ya kibondo karibu sana Kuna job Click to expand... Kuna job gani? Kwani m kuja sishindwi ila tu kazi iwe ya uhakika.