NGWANA ANGELINA
Member
- Mar 25, 2017
- 70
- 45
Sehemu gani mkuu nielekeze vizuri tafadhali!!Nenda G4S wanatoa ajira
Nenda Maeneo ya tanroad Mwanza ulizia linapojengwa jengo la nssf ulizia ofisi za G4S utapata Hawa wanatrain watu wa mgodini ukiingia kwenye kampuni hiyo utawekwa kwenye kitengo cha ITSehemu gani mkuu nielekeze vizuri tafadhali!!
ubarikiwe sana mkuu!! nitajitahd kufuatiliaNenda Maeneo ya tanroad Mwanza ulizia linapojengwa jengo la nssf ulizia ofisi za G4S utapata Hawa wanatrain watu wa mgodini ukiingia kwenye kampuni hiyo utawekwa kwenye kitengo cha IT
Nenda jumatatu asubuhi ukweli ukivumilia utakuwa mtu Ndo tajiri watu wengi wameenda g4s na Degree zao Leo hii wako mbali sanaubarikiwe sana mkuu!! nitajitahd kufuatilia
nitafanya hvyo kwa imani!!Nenda jumatatu asubuhi ukweli ukivumilia utakuwa mtu Ndo tajiri watu wengi wameenda g4s na Degree zao Leo hii wako mbali sana
Ukimaliza training yao unapata kitego ndiyo na post zao kwa huku huwa migodini tu ukifika mgodini utapata wenyeji pia unauwezo wa kushift simple tofauti na kufight ukiwa nje ukweli wenye degree wengi wanapitia mfumo huu tena IT ni shavuG4S kwa ninavyojua Mimi ni kampuni la ulinzi,kumbe huwa wanatoa na ajira zingine kutokana na fani yako au sijaelewa?
Umemshauri vizuri sana but kwa wanaokuwa train hapa Mwanza wote wanapangiwa kazi mgodini hupangiwa kazi buzwagi, north Mara, bulyanhulu but akiingia na fani yake ya IT hatajuta kikubwa avumilie tuLTN USU WA MADOSO;
G4S haifanyi training kwa ajili ya migodini tu. Hili kampuni ya ulinzi linafanya ulinzi kuanzia Nyumba za watu adi viwandani adi migodini. Mara nyingi wanaopelekwa migodini ni wale waliopitia mafunzo ya jkt.
Kuhusu suala la watu wenye taaluma kuomba kazi huko mimi pia nawashauri waombe kazi huko make kampuni hiyo INA maono mazuri sana kwa siku za mbeleni. IT ukiomba kazi utafanya kazi control room ambapo maslahi pia ni kuzuri kiasi chake
Taadhari lazima uwe mvumilivu kiasi make mnaweza kumaliza training na mkakaa nyumbani kwa siku kadhaa nafasi zikiwa zinatafutwa. Pia kuna Mungu watu kiasi pale pia
Ndiyo tena training yao imebase darasani zaidiOK nilikuwa sijaelewa kumbe una trainiwa kuwa mlinzi hata kama haujawahi kupitia mafunzo yoyote ya ulinzi?
Unatakiwa uwe umemaliza form four na kufaulu Au degree Sawa tu ujue kingereza cha kuongea na kuandika interview yao huwa ya math na English ukifaulu interview kuna training ya wiki mbili kuingia darasani kusoma huku mkifanya na mtihani ukimaliza training tu Post kwa Mwanza huwa migodini tu north Mara, buzwagi, bulyanhulu mshahara wao kwa form four laki tatu na nusu per month mgodini unakula bure na kulala bure plus kufuliwaSamahani kwa maswali mengi vigezo na masharti vikoje mi ni mdada?
Upo mkoa gani?Nataka kuongea na wewe private but mi mgeni humu jf nashindwa kuitumia pm...plz nifate ww pm unitumie namba yako kama hautajari