Husika na kichwa cha habari.
Kulingana na ugumu wa ajira uliopo natafuta ajira zozote halali katika eneo la kilimo, ufugaji, n.k katika mikoa ya Pwani, Dar es salaam au Morogoro. Elimu yangu shahada ya kwanza(B.A Public Administration)
Mwenye fursa anitumie PM.
Natanguliza shukrani!