Daniel Albert
Member
- Apr 29, 2019
- 29
- 13
unaweza kuja dodoma?? tutengeneze hela mkuu...mimi sijui Kupika nipo vizuri kwenye mArketing.
kwa kuanzia tunaweza hata kupikia nyumbani lakini Chakula tunapeleka maofisini. hebu njoo fasta mkuu najua Baada Ya mwaka Tutakua na hotel yetu.
tena haya mambo ya birian ndo yenyewe kabisa huku dodoma hamna kwa sasa
Good,,, ungekuwa dar ningekuconnect sehem
Whatsapp me 0746510577Habar gan wanaTHREADS!!Mim ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 30 nina taaruma ya upish japo c ya kusomea ila ni mpish mzur wa vyakula vya kiswahil kama wali,pilau,birian na rost aina zote pamoja na bites zote kama maandaz,chapat,sambusa na vingine ving..Napatikana kwa namba 0620 896481,natanguliza shukran...nipo iringa
Whatsapp me 0746510577
Good,,, ungekuwa dar ningekuconnect sehem
Asee njoo dar tufungue cafe