N nelsonadis Member Joined Feb 7, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Apr 7, 2015 #1 Ndugu wenzangu nasaka kazi ya kuigiza,Nimebarikiwa na hicho kipaji
mgusi mukulu JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 715 Reaction score 682 Apr 7, 2015 #2 Mkuu hebu tupe kipaji chako japo hata clip moja tu ya video ya kuigiza kama umepokea pesa taslimu laki 5 mpesa kimakosa kutoka kwa wakala wa mpesa na ulikuwa unashida ya pesa sana. Sasa tunataka tujue uhalisia wako ukoje hapo.
Mkuu hebu tupe kipaji chako japo hata clip moja tu ya video ya kuigiza kama umepokea pesa taslimu laki 5 mpesa kimakosa kutoka kwa wakala wa mpesa na ulikuwa unashida ya pesa sana. Sasa tunataka tujue uhalisia wako ukoje hapo.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Apr 7, 2015 #3 Watafute waigizaji maarufu wakusaidie