Wanabodi habari.....
Kama kichwa cha somo ilivyoeleza hapo juu. Nimeona niliweke hapa labda mmoja wa wanajukwaa anaweza kunisaidia. Nina qualifications zote, atakaeguswa naomba asisite kuja dm. Hata kwa ushauri na kubadilishana mawazo, Maisha ni kusaidiana, Ahsanteni sana, Mbarikiwe