M mwechaga JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 334 Reaction score 57 Jun 20, 2014 #1 Wadau mimi ni dereva nilie pitia mafunzo pale NIT elimu yangu ni kidato cha 4 na leseni yangu ni dalaja c,naombeni msaada wenu wadau kama kuna mtu amesikia mahali kunanafasi naomba anijuze.
Wadau mimi ni dereva nilie pitia mafunzo pale NIT elimu yangu ni kidato cha 4 na leseni yangu ni dalaja c,naombeni msaada wenu wadau kama kuna mtu amesikia mahali kunanafasi naomba anijuze.
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,376 Reaction score 5,604 Jun 20, 2014 #2 NIT,Class C na Form IV huna kazi?Tatizo mnarundikana Dar tu, Mwanza Fortes Car Hire ingekuhusu