Habari wakuu,
Mimi ni Mtanzania halisi kwa kuzaliwa nipo Mbeya mjini natafuta kazi ya udereva ambapo uzoefu wangu ni wa magari ya mizigo ( Heavy Duty trucks na normal trucks ) nimeendesha gari kubwa kwenye kampuni ya MAHENGE TIMBER ipo Mbeya-Uyole kwa miaka 3 badae nikahamia SMART TIME LOGISTICS kwa mwaka 1 na nusu.
Mpaka sasa sina gari kutokana na gari niliyokuwa naendesha ilikuwa na matatizo na badae ikauzwa. Mwenye connection na hii ishu basi mawasiliano yangu ni 0629595529