habari zenu wanandugu kwa jina naitwa Salum natokea Mbagala nimekuja kwenu kuwaomba msaada kwa anayejua makampuni au watu binafsi wanaohitaji madereva.
Mimi ni dereva niliyesoma katika chuo cha Veta na n it pia n fundi mzur wa umeme wa magar kutoka ktk chuo cha ifundi veta level two my license classes A1,C1,C2,C3 and D education level yang n kidato cha nne.
Huko Dar madaladala mengi tu kajichanganye huko utapata pakuanzia for sure,,,, Halafu kuna watu wana degree na leseni daraja C-kavu aisee maisha yapo kasi sana