ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
Sikunyjngine mobile number uwekeHakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]
PIGA NAMBA HII MUDA WA KAZI TU: 022 286 2330Hakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]
asante ndugu kwa ushauriSikunyjngine mobile number uweke
asante ndug, kwakua leo mda wa kazi umeisha, mi kesho ntapiga hii nambaPIGA NAMBA HII MUDA WA KAZI TU: 022 286 2330
naweza ndugu na napatikana muda wowote katika wiki masaa 24.Unaweza kuendesha mtu binafs
naweza ndugu na napatikana muda wowote katika wiki masaa 24.
my phon no is +255621038229/ +255784133449
mimi ni mroman katolik (christian), ila baba yangu n muislam alifariki nkiwa mdog sana hivyo nkakulia kwa mama ambaye ni mkristo na akanibatiza,Kuwa mkweli........
Dini gani..kuna pork
mgodi gani tena kiongozi?, hari bado tete, sijapata bado iyo kaziHaya mkuu naona mgodi umetema kiongozi hapo wewe tu mkuu. Usizubae tena.
Ukipata bonde zuri lima sana kaka.
Kila la heri mkuu.
mimi ni mmakonde, kuhusu chama ndg mm sasa hiv sina uchama, uchama bila kazi ni sawa na upunguani. nilikua CHAUMA ila sasa sina chama.Weye Chama gani
Kabila gani
asante kaka kwa kunitahadhalishaAngalia na matapeli wataingia humu humu kwa gia ya kukusaidia mwisho wa siku unaombwa pesa ujuwe umeliwa.
nzalendoHakika changamoto ya ajira imekua kubwa na maisha yanazidi kutubana. mimi ni dereva, nina ujuzi na nimesomea kozi mbali mbali za udereva kama HEAVY TRUCK kozi katika chuo cha VETA, pia PSV kozi katika chuo cha N.I.T, na nina clas A.B.C1.C2.C3.E.D driving licence. nina uzoefu wa miaka sita (6) na rekodi nzuri barabarani.
ila ajira zimekua ngumu, natamani nijiajiri ila mitaji sina. tafadhali mwenye msaada wa ajira au hata kibalua cha mda au anayejua wapi naweza nikapata ajira naomba anisaidie,iwe kuendesha gari la shule, mizigo, mtu binafsi (family), kukodisha, safari, dala dala na yoyote atakayoiona inanifaa kutokana na sifa na ujuzi wangu, mi ntafanya, naishi Dar es salaam ila nitafanya kazi mkoa wowote, naandika na kuongea vizuri English na kiswahili,/a5b3329263c33f5a1d617e99047905f6.jpg[/IMG]
usijali ndg mungu yupo atatukwamua ktk janga hili la ukosefu wa ajira lililotukumba vijana weng wa tz, angalizo, when we get a job we have to invest in proper way,Jamani namimi natafuta kazi ya udereva nina lesen C C1 C2 C3 NA A B D E nitafurai kama mtani saidia kupata kaz 0785837710