Ndugu zangu, bado nataabika, mwenye connection tafadhali ndugu zangu, nina vyeti vyote leseni kubwa, nipo Arusha.
Magari nilio endesha ni magari ya mizigo, kwenda mikoani, ila lolote nitakalo pata hata kirikuu, Inshallah, nitamshukuru mungu, kwa neema hio.
Tusaidiane wanaume wenzangu