Wadau kama unamjua agent yeyote anaweza kufanikisha wazo langu,naomba tuwasiliane pm.
Na elimu ya Diploma na uzoefu wa miaka 9 katika ulinzi (security guard) lugha ya Kiingereza naweza.
Nilitegemea nitapata kazi hapa nchini baada ya kujisomesha huku nalinda sasa mambo ni tete sana.
Naomba msaada mie