Natafuta kazi ya Office/Stationery Attendant

ambivert

Member
Jan 20, 2020
6
2
Hi, Mimi ni msichana (23), nina elimu ya kidato cha nne, pia nimesomea Computer Applications Course, nina ujuzi wa kutumia (Ms.Office Package) vizuri.

Natafuta kazi ya Office Attendant/ Stationery/Secretary/ Receptionist, na zingine kulingana na fani yangu.
•Nina uzoefu wa miaka (3) katika kazi ya Stationery Attendant.

This is very serious, Kwa mwenye uhitaji/ maelezo zaidi please niPM
 
Nitumie picha yako PM nikipekazi now
 
andika proposal ili tufanye jointly biashara ya stationery mana mi sina uzoefu nayo mana unaonekana una 3 years experience, mtaji upo cha msingi faida ipo kweli
 
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…