Habarini wakuu,Nafuta kazi kwenye maeneo yafuatayo:
1.Microfinance, nina uwezo wa kufanya kazi zote kwenye microfinance yaan kudesign product,guidelines na manuals pia kutoa mikopo na kusimamia urejeshwaji.
2.Ni mtaalamu pia wa Uchumi katika maeneo mbali mbali ikiwemo Econometrics kwa kurun data kwa kutumia STATA na SPSS
3.Mtaalamu pia wa kuandika business plan.
Nina uzoefu wa kazi miaka 4, nina masters ya Economics.Natafuta kazi iwe parttime or fulltime.Asanteni. My contact 0713196055
Acha upotoshaji wewe!Njoo tufundishe vyuo rafiki.huku kwenye academic institutes utautilise zaidi masters yako ya uchumi.pia coz uko vizuri kwenye econometrics na hizo statistical packages itakuwa rahisi kwako kuandika articles nyingi ambazo zitakupaisha haraka hadi kuwa senior lecturer.
Achana na mambo ya micro finance hizo coz huko hutapewa nafasi ya kudesigh products. Utaishia kukimbizana na ma defaulters tu.
Acha upotoshaji wewe!
Njoo tufundishe vyuo rafiki.huku kwenye academic institutes utautilise zaidi masters yako ya uchumi.pia coz uko vizuri kwenye econometrics na hizo statistical packages itakuwa rahisi kwako kuandika articles nyingi ambazo zitakupaisha haraka hadi kuwa senior lecturer.
Achana na mambo ya micro finance hizo coz huko hutapewa nafasi ya kudesigh products. Utaishia kukimbizana na ma defaulters tu.
Mkuu napenda sana kufundisha ila changamoto sina GPA ya 3.5 ya first degree hicho ndio kikwazo cha kuwa lecturer kwenye vyuo.
Sawa rafiki. Unajua uliposema una masters ya uchumi na uko vizuri kwenye statistical packages nikaona kuwa ungefurahia sana kwenye kufundisha.
Hata hivyo ningekushauri unapoapply kazi kwenye hizo microfinance ni vizuri husitumie cheti cha masters. Nilishawahi kufanya kazi na taasisi tatu tofauti za kifedha zenye reputation kubwa hapa nchini so nazijua vizuri.
Unaweza kuomba kwa kutumia cheti cha degree then when u ar inn there ndio unaweza kuaapply nafasi nyingine zinazotangazwa ndani
mkuu napenda sana kufundisha ila changamoto sina gpa ya 3.5 ya first degree hicho ndio kikwazo cha kuwa lecturer kwenye vyuo.