Iwe ualimu masomo ya uchumi au biashara na hesabu, uzoefu wa kufundisha o level miaka miwili commerce na bookeeping, miaka miwili advanced level masomo ya uchumi na BAM, Mwaka mmoja assistant Accountant, nikiwa na uzoefu wa sales and marketing pamoja na credit, elimu ni advanced diploma in accountancy, kwa unayeona ntafaa kufanya kazi na wewe nipo kwa eplat.info@gmail.com0658154647
Mimi ni binti wa miaka 23.nimemaliza diploma ya public procurement and supply management. natafuta kazi nimepata uzoefu kupitia field na research.nimehitim chuo cha utumish wa umma Tabora.Niko tayari kufanya kazi popote.contact 0755996817