Omari Rajabu Kinyemi
New Member
- Jan 24, 2015
- 3
- 2
Unaeza kuanza na internship? Taasisi ya serikali! Baada ya muda upo uwezekano wa kuyajenga!
Slim5 wapi intern, mi natafuta mkuu
Upo mkoa gn?
Anayehitaji Internship ya IT, na anaweza kwenda kukaa Mkoani anicheki kwa 0784 324 102
nahitaji sana hii kwa ajili ya experience.Ni mikoa gani hasa maake niko Mwanza kwa sasa.
nahitaji sana hii kwa ajili ya experience.Ni mikoa gani hasa maake niko Mwanza kwa sasa.
Huko Mwanza umetembelea makampuni yanayohusika na IT?au huyajui?Kuna hotel kubwa kibao hapo umeshindwa?Barmedas umeenda?Kuna kampuni mpya sikumbuki walitangaza kama kazi tano hivi,hapo mjini umemaliza ofisi zote mpaka umeamua uje dunia nzima?Bugando hospital umeenda?Au mnataka tuwe tunatajia mpaka no za milango?Medical research?

Nime mtajia kwani utakubaliana nami watu wengi wanapenda mtelemko lakini nataka nikuambia suluhisho lipo huko mtu alipo lakini hatutaki kujishughurisha.Mwanza ni jiji,kuna ofisi nyingi tu na IT inatumiwa karibu kila sehemu,sasa unakuta mtu anakimbilia JF wakati hata sori ya viatu vyake hajaitumia vizuri.kwani we ni Police?