Natafuta kazi ya HOTEL

Mudypoper

New Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Zasaizi jaman mimi ni kijana wa umri wa miaka 21 nahishi kinondoni taaluma yangu ni maswala ya HOTEL.
Nina uzoefu wa mwaka mmoja na nili waihi kufanya kazi JaNGWAN SEA BREEZ,SLEEP WAY na sasa npo home cna kazi namimi ndo tegemeo sasa nyumba kutokana kuna matatizo yaliikuta famil yangu nawaombeni ndugu zangu mnisaidie kama kuna nafasi mmirhtue
 

...lakini jaribu kupeleka CV kwenye mbali mbali hotel as long as una xperience naimani watakufikiria. Usisubiri hadi kazi zitangazwe.
 
mungu yuko nawe utapata Mkuu
Nakuumbia mafanikio kwa uwezo Wa allah
amina!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…