Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
All the best doriii! Kama picha ni yako hyo you look smartNaitwa Doris Gabriel naishi Dar natafuta Kazi na uzoefu wa front office nikadili na customer Care,telephone operating system, receptionist pia nikafanya field Serena hotel, Dodoma hotel na nikafanya training strategies insurance pia kama itapatikana kazi yoyote halali inayoendana na niliosomea naomba watanzania mnisaidie nipate ajira
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka kwaushauri wakoTulipitia vipindi kama wewe mungu yupo na wewe, ... Ila kuwa makini na baadhi ya watu humu hawana huruma kabisa wasije kukusababishia matatizo
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sawa asante tatizo ukipeleka wakizichukua mapokez hawazifikishipeleka cv ison mkuu, voda ..tigo na airtel ndo recruitment agency wa hizo kampuni
Thank you mzawaAll the best doriii! Kama picha ni yako hyo you look smart
ThanksAll the best of Lucky,be careful with the so called "savage wolves"
Good Neighbour