jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Msaidien hata kazi ya kufagia naona kujieleza ndo kumekua kugumuTemporary ndo ofisi gani Mkuu?
Ukweli na Uhakika namba yangu ni 0627 136 513Weka namba na ukuje...inbox
Niunganishie job basNimependa uandishi wako, kwamba umesoma kidato cha nne hadi cha sita na academic CV iko vizuri. Yani nimefurahi sana ila japo nimehitimu darasa la 7C, nadhani ulitaka kusema kwamba ulifaulu vizuri ktk mitihani yako ya kidato cha nne na sita. Wenye kazi zao watakusaidia, kuwa mvumilivu.
Asante kwa ushauri lakin niltaka nipate pesa niendelee mbele aiseekk hakuna mtu wa kukuajiri humu ajira unayoitaka ipo shule ndugu yangu nenda mashuleni ukaongee na wakuu washule utakacho pata humu ni lugha za kejeli tu ndugu yangu
Mkubwa, kiukweli sina mtandao wa watu wenye kazi zao ukizingatia hata elimu yangu siyo kubwa kwa kiwango cha kuitwa msomi. Nikipata michongo inayoendana na elimu yako nitakufahamisha. Asante.Niunganishie job bas
Ha ha kweliiiiNgoja nikutafute