Daudi Godfrey
Member
- Mar 1, 2022
- 13
- 9
Elimu yako na unacheti Cha nn?Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina cheti ninatafuta kazi yoyote ili niweze kuendesha maisha yangu maana hali so shwari kabisa.
By Daudi Haule
Namba zangu za simu ni 0783060791Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina cheti ninatafuta kazi yoyote ili niweze kuendesha maisha yangu maana hali so shwari kabisa.
By Daudi Haule
AsanteKila la kheri
Kwa tangazo hili ukifanikiwa tu kupata kazi njoo nikuongeze elf 10Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina cheti ninatafuta kazi yoyote ili niweze kuendesha maisha yangu maana hali so shwari kabisa.
By Daudi Haule
Sawa hamna shida kikubwa kama umeelewa inatosha sio lazima tufanane rafiki...Ungenifundisha namna nzuri ya uandishi kuliko kunidhihaki ingenisaidia kuliko haya uliyoandika...Ila nashukuru kwa kujaliKwa tangazo hili ukifanikiwa tu kupata kazi njoo nikuongeze elf 10
Asante nitajifunza naamini wakati mwingine nitaandika kwa ubora zaidiJifunze 'animation'
Jifunze hiyo program,nikupe ofisiAsante nitajifunza naamini wakati mwingine nitaandika kwa ubora zaidi
Asante mkuu nitakupa mrejeshoJifunze hiyo program,nikupe ofisi
We kweli fundi hata kujieleza ishuAsante kwa kunisaidia ndugu...mimi nina cheti cha ufundi wa umeme wa majumbani
Samahani kwa kukusumbua ndg yangu...Kichwa kikijaa mambo mengi hayo hutokea ila naamini umeelewa hitaji langu kama huwezi kunisaidia usinishutumu kwa kuwa sijafanya kama ulivyotaka.AsanteWe kweli fundi hata kujieleza ishu