Nina uzoefu wa kutafuta kazi kwa miaka mi3 sasa, sample za Cv 18, Application 27 na Statement of Purpose 21 na cha kushangaza nilitumia Burchelor nikakosa. NIkatafuta CPA hadi nimepata na bado nasugua Bench ila maisha ndo hayahaya njoo nikupe maujuuzi ya kitaa ni elimu ya PhD sema hakuna Thesis ( Xcul after School)....