Natafuta kazi jamani!

Sawa mkuu kazi yoyote iliyo halali
 
Ahsante mkuu, hali ni ngumu aisee we acha tu hadi nafikia kulala na njaa siyo mchezo
Kuwa mvumilivu ipo siku
Mwombe Mungu yeye ndio njia pekee
Usikate tamaa kazana tafuta itakayokuwezesha kula huku ukiendelea kutafuta taratibu.
Sio wewe pekee ni muhanga tupo wengi ila tunajikaza tu maisha yasonge na kuwa na imani ipo siku mafanikio yatapatikana.
 
Mkuu ushajaribu kutuma maombi kwenye viwanda hivi vya kutegeneza vyakula mfano azam etc?
 
Kaz kaz anayetaka punda sijui ngamia aniPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…