Sawa mkuu ila hali ni ngumu mno yaani kulala njaa siyo mchezoduuu polee sana mkuu...pambana hope mungu atasaidia.
Unatafuta kazi ya aina gani?Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi, muaminifu nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka juzi chuo, toka nimalize chuo nimehangaika sana kutafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana kwangu nimefika wakati nalala na njaa au kupata mlo mmoja tu kwa siku nipo Dar es salaam, sichagui kazi kwa yeyote mwenye kazi nipo tayari 0758 106 501
Kwa sasa yoyote tu ili mradi nipate rizikiUnatafuta kazi ya aina gani?
Sawa mkuuPoleee aiseeeee........ila tbu zkizid jua neema iko njian
Pigs bodaboda ajira rahis kwa vijanaHabari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi, muaminifu nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka juzi chuo, toka nimalize chuo nimehangaika sana kutafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana kwangu nimefika wakati nalala na njaa au kupata mlo mmoja tu kwa siku nipo Dar es salaam, sichagui kazi kwa yeyote mwenye kazi nipo tayari 0758 106 501
Unaweza kulima?Kwa sasa yoyote tu ili mradi nipate riziki
Ahsante kwa ushauri mkuu ila nimehangaika sanapole sana kaka.......tafuta sehemu ujitolee kwenye fani uliyosomea huenda ikawa njia ya wewe kupata kazi
pole sanaAhsante kwa ushauri mkuu ila nimehangaika sana
Sawa mkuuTutaamini vip kama unazo izo sifa za elimu ulizozitaja? Tunahitaji tuone vilelezo,ila samahani lakin mkuu.
Ni kazi gani hiyoSawa nimeona ila hiyo kazi ipo nje na uwezo wangu mkuu
Hapana sikushauri solanum ufanye kazi yoyote eti ili mradi upate riziki! Hiyo ni hatari sana, ushauri tafuta shughuli yoyote ile YA HALALI, maana ukisema yoyote kuna watu wanatafuta vijana (Punda) wa kubeba unga sasa hiyo ni hatari, wapo wenye magenge ya uhalifu nao wanatafuta vijana.Kwa sasa yoyote tu ili mradi nipate riziki